0
Wimbo wa Dogo Janja ‘My Life’ ni miongoni mwa ngoma mpya zinazofanya vizuri kwa sasa. Beat ya wimbo huo ilitayarishwa na producer wa Norway, Carl Hovind. Hata hivyo awali beat hiyo ilitumika na msanii wa dance hall wa Norway, Admiral P kwenye wimbo wake Hatere.

Msemaji wa TIP TOP amezungumzia kuhusiana na beat hiyo kutumika kwenye ngoma ya dogo janja leo kupitia kwenye Story 3 ya Planet Bongo na EA Radio kuwa beat haijatengenezewa hapa Bongo bali mixing ndio imetengenezewa hapa Bongo.

Post a Comment

 
Top