Rais wa Marekani Barack Obama hatohudhuria mazishi ya nguli wa ndondi duniani Muhammad Ali.
Ikulu ya Marekani imesema Obama alizungumza kwa njia ya simu na mkewe marehemu Ali Bi Lonnie na kutoa rambirambi zake.
Muhammad Ali atazikwa ijumaa Louisville alikozaliwa.
Post a Comment