Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo na chama hicho akiwemo Miss Tanzania w...
Rapa Joh Makini Amesema lord Eyes bado ni mwanafamilia wa Weusi.
Rapa mkali kutoka Weusi Joh Makini amewachana wanaoanzisha label hapa nchini kuwa wengi wao hawajui vigezo vya kumiliki label na badala yake...
Diamond Aweka wazi kuhusu Ukimya wa Rich Mavoko
Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa ukimya wa Rich Mavoko unatokana na msanii huyo kujipanga na kazi zake mw...
Joh Makini amshirikisha Falz Kutoka Nigeria kwenye ‘Acha Nikupende’
Muziki wa Afrika haujawahi kuunganika kama ulivyo sasa. Akitoka kumshirikisha msanii wa hit ya ‘Omo Alhaji’, Ycee wiki mbili zilizopita, Joh...
Najma Amshangaa Gig Money
Najma Datan ‘Naj’ DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva, Najma Datan ‘Naj’ anamshangaa Video Queen Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwa kudai ...
Wema Sepetu, Ivan Ex wa Zari na Diamond Watoa Ujumbe wa Birthday kwa Tiffah
Msanii wa filamu Wema Sepetu anaendelea kuuthibitishia umma kwamba hana tena kinyongo na Ex wake wa zamani Diamond Platnumz baada ya Jumamo...
Baada kibao cha "Perfect Combo"kufanya vizuri Joh Makini Afunguka Kuhusu Bongo Fleva kwa sasa.....
Msanii Joh Makini ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘Perfec...
Jux: African Boy inanilipa kuliko nilivyotarajia.....
Jux amedai kuwa brand ya African Boy imegeuka kuwa kitu kinachomuingizia fedha nyingi kwa sasa. Amedai ...
Ruby ‘awamind’ Yamoto Band kwa kumpotezea kwenye video ya wimbo waliomshirikisha
Ruby amedai ameumizwa na kitendo cha Yamoto Band kushoot video ya wimbo wa SU bila ya yeye kuwepo. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Pla...
Wakazi aendelea kuisuka album yake ‘Kisimani
’ Rapper Wakazi amesema bado anaendelea kuisuka album yake i...
je Chidi Benz naye kujiunga na lebo ya WCB?
Baada ya kukosekana kwenye muziki kwa kipindi kirefu, msanii wa Hip Hop Bongo, Chidi Benz amerejea tena machoni mwa watu na muonekano ...
Diamond kutikisa Africa kwa collabo mbili kubwa kati P square na Papa Wemba
Mashabiki wa Diamond na wapenzi wa muziki wa Bongo Flava kwa ujumla sasa wanaweza kukaa mkao wa kula kwasababu collabo za staa huyo waliz...
Diamond Platnumz Aonyesha Hadharani Bastola Yake
The CEO of Wasafi Records, Diamond Platnumz, has now joined the list of celebrities who are believed to be walking around with guns. Well ...
Nay Wamaitego na Niva Supermarioo wavuana nguo kwenye eNewz kisa 'Shika adabu yako'
Baada ya lile drama kati ya star wa Bongo movie, Niva Supermariyo, na rapper Nay wa Mitego kushika moto kutokana na wimbo wa 'Shika adab...
Baada ya story kuwa anachepuka, Diamond Platnumz na Zari wameandika haya Instagram
Nguli wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini, Diamond Platnumz, alishikilia headline za magazeti ya udaku na blogs week hii kuwa anach...







