0
Drake-and-Wizkid
Baada ya msanii Wizkid kuwa Mnigeria wa kwanza kuwepo kwenye orodha ya wasanii wenye nyimbo kwenye chati kubwa za muziki Nigeria, wachambuzi wa maswala ya muziki Nigeria wanasema kiwango cha mafanikio alichofikia WizKid ndio kipimo cha mafanikio ya kimataifa kwa sasa Nigeria sababu hakuna amsanii aliyeweza kufanya hivyo mpaka sasa.
WizKid ameshirikishwa kwenye wimbo wa Drake wa ‘One Dance’ ambao upo kwenye chati za Billboard Hot 100 namba ’21’ nchini Marekani.
WizKid alifanya kazi na Drake kwa mara ya kwanza kwenye remix ya Ojuelegba na ndipo Drake alipompa shavu kwenye wimbo wa ‘One dance’ Ft Kyla

Post a Comment

 
Top