Najma Datan ‘Naj’
DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva, Najma Datan ‘Naj’ anamshangaa Video Queen Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwa kudai kuwa alimpigia simu, kisa wivu kwa mpenzi wake, Baraka Da Prince wakati hamjui yeye wala namba yake.
Gigy Money
Akichonga na Wikienda, Najma alifunguka kuwa, hamjui Gigy anayesema kuwa alimpigia simu kumtahadharisha ukaribu wake na Baraka na kwamba alimsingizia kwani hajawahi kuonana naye. “Huyo Gigy atakuwa anatafuta kiki,...

Post a Comment