Mtoto
huyu ambaye kwa sasa ana miaka 10 tu hana vazi lakuvaa zaidi ya
shuka tu lakijifunika kutokana na ukubwa wa mwiili wake, Amekuwa akiwekwa
kwenye mlo mdogo kwa hofu kuwa anaweza kuwa makubwa zaidi na kupoteza
maisha yake.
Arya Permana, ametangazwa kama mtoto mnene
zaidi kwenye Dunia, akiwa na uzito wa kilograms 192 .
Pia anakula milo mitano
kila siku ikiwa ni Wali, Samaki, Nyama, Supu ya mboga mboga na Tempeh,
Mlo wake mimosa ni sawa na milo miiili ya mtu mzima.
Arya amble anaishi Magharibi ya Indonesia, ameachishwa shale katakana na kushindwa kutembea kwa sasa na mama yake mzazi, Rokayah,
amesema mtoto wake anakuwa na njaa kali sana mara kwa mara.
Mama yake
anasema kuwa hana mlo wa kawaida na anakula molo wa watoto wazima wawili
kwa mara moja tu!
Arya
amekuwa akishindwa kupumua vizuri kwa mara nyingi, Anachofanya mtoto
huyu ni kula na kulala tu na kama atakuwa hali au hajalala basi
anajitupa kwenye kisima cha maji kuoga ambapo anaweza kukaa hata lisaa limoja huko ndani.
Wazazi wake wameamua kumpunguzia kiwango cha
kula ili apunge miili na kwasasa wamekuwa wakimpa wali mkavu zaaid.
Wazazi wake wanasema kuwa mwanao alizaliwa
akiwa na uziti wa kutosha wa kilo 3 tu, Na alipofikisha umri wa miaka 2
alianza kuongezeka uzito bila kuonyesçha kuwa ni tatizo. Wazazi wake
wansema kuwa walifurahiya kumuona mwanao anakuwa vyema lakini alipofika
umri wa miaka miwili na gnus aliaanza kuongezeka kwa ghafla zaidi nakuanza
kuonyesha dalili ya magonjwa ndani yake.
Wazazi wa mototo huyu walianza kutafuta
wauguzi kwenye kijiji chao na ndipo walipoambiwa kuwa labda wajaribu
hospitali kubwa kwakuwa hapo kijijini kwao hawakuona tataizo japokuwa
alihitajika matibabu ya lazima.
Baba wa mtoto huyu ambaye ni mkulima
ameshindwa kumpeleka kwenye hospiotali kubwa kutokana na kipato chake
chote kuishia kwenye kumlisha chakula ambacho mwanaye anahitaji kula kila mara.
0
Post a Comment