Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha kimeonyesha mafanikio makubwa kutokana aina yake ya utoaji wa elimu kwa njia ya vitendo zaidi haswa katika uandaji wa vipindi vya television kitu ambacho kimechangai kuwa na soko kubwa kwa tasnia ya habari hapa nchini zifuatazo ni baadhi ya picha za wanafunzi wakijifunza kwa vitendo
Baadhi ya wanafunzi wakiwa na mkufunzi wao Steven Mulaki akiwaongoza namna utumiaji wa camera ;PICHA NA HERTENSON MLAY |
wanafunzi wakiwa na mkufunzi wao Steven Mulaki wkisikiliza kwa makini maaelekezo wanayopewa ;PICHA NA HERTENSON MLAY |
wanafunzi wakiwa na mkufunzi wao Steven Mulaki wkisikiliza kwa makini maaelekezo wanayopewa ;PICHA NA HERTENSON MLAY |
Mmoja kati ya wanafunzi Baraka Kaaya akiripoti tukio katika moja ya mitaa ya karibu na chuo hicho ;PICHA NA HERTENSON MLAY |
wanafunzi wakiwa na mkufunzi wao Steven Mulaki nje kidogo ya chuo hicho ;PICHA NA HERTENSON MLAY |
Mmoja wa wanafunzi akiuliza swali kwa mkufuzi wao Bw .Steven Mulaki katika mafunzo ya vitendo chuoni hapo.;PICHA NA HERTENSON MLAY |
wanafuzi wakiwa katika mafunzo ya vitendo ;PICHA NA HERTENSON MLAY |
Mwanafunzi akiripoti katika zoezi la uandaji wa vipindi vya television ;PICHA NA HERTENSON MLAY |
wanafunzi wakiwa na mkufunzi wao steven mulaki wkisikiliza kwa makini maaelekezo wanayopewa ;PICHA NA HERTENSON MLAY |
wanafunzi wakiwa na mkufunzi wao steven mulaki wkifraiya maaelekezo wanayopewa ;PICHA NA HERTENSON MLAY |
Post a Comment