Arsenal haikuwa na mda wa kuwaanda
wachezaji wake baada ya michuano ya Euro2016 na hawakuwa na uzoefu
katika mechi walioshindwa na Liverpool kwa mabao 4-3 kulingana na
mkufunzi Arsene Wenger.
The Gunners walioongoza 1-0,walifungwa
mara tatu katika kipindi cha pili na hivyobasi kuwalazimu kuanza ligi ya
Uingereza na kipigo.
Baadhi ya wachezaji waliorudi walikuwa hawako tayari,alisema Wenger ambaye alizomwa na mashabiki katika uwanja wa Emorates.
''Tulilazimika kuadhibiwa.Ni hali ambayo lazima uadhibiwe''.
Post a Comment