Davido ametoa maelezo juu ya milio ya risasi iliyosikika kwenye nyumba yake iliyopo huko Lekki. Staa huyu kutoka Nigeria anasema milio hiyo iliyoka kwenye mamp tofauti waliyokuwa wakifanya wakati wanatayarisha video ya msanii ‘Tillaman’ inayoitwa ‘Oni Reason’.
Davido amekubali kutoa collabo yake na Tillaman mwaka 2016 hata baada ya dili kubwa na Sony kutokana na ubora wa kazi hii ya ‘Oni reason’ .
Tillaman na Davido waliwahi kufanya kazi pamoja kwenye wimbo wa Tillaman Ft Davido ‘Ori Owo‘ remix mwaka 2014.
Post a Comment