0

post-feature-image



Nguli wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini, Diamond Platnumz, alishikilia headline za magazeti ya udaku na blogs week hii kuwa anachepuka na video vixen Irene ‘Lynn’ ambaye anaonekana kwenye video ya Kwetu tyakwake Raymond.

Diamond Platnumz adaiwa kuchepuka na video queen wa kwenye video ya Kwetu!

Utata huo ukajazwa na huku wengine wakiamini kuwa yawezekana kuwa penzi la wawili hao linaanza kuingia kwenye dosari na hata wanaweza kubwagana. Lakini jana kupitia Instagram Diamond Platnumz alitupia picha akiwa na Zari kisha kuandika "We jus wanna wish you Ijumaa Mubarak..." huku wakionekana kuwa swari, Usiku wa kuamkia leo Diamond Platnumz akapost picha tena nakuandika "Out and About na Mama mjengo @zarithebosslady #Taboo #ColorsOfAfrica Launch ๐Ÿ™‹ suit by @speshoz" naye Zari kwa picha kama hiyo akaweka imoj "...๐Ÿ˜๐Ÿ’‘" nakuwafunga watu midomo waliozani watagombana.

Post a Comment

 
Top