wanafunzi wakiwa wanasikiliza kwa makini uwasilishwaji wa vipindi mbalimbali katika ukumbi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha |
MashindanoYaUtangazajiYameanzaRasmiHii Leo Katika
Chuo Cha Uandishi Wa Habari Na
UtangazajiArusha,KwaWanafunziKuwasilishaVipindiMbalimbali Kwa Lengo La
KuongezaUbunifu Na UzoefuKatikaTasniaYaHabari.
MashindanoHayoYanahusishaMadarasa Zaidi YaKumi Na
Tatu,AmbapoTayariDarasa La SelouLimewasalishaVipindiVyaoMapemaHii Leo.
HataHivyoMashindanoHayoYatafikiaTamatiSikuYaIjumaaYaTareeYa
27 ,AmbapoMshindi Wa Kwanza, Wa Pili Na
NaTatuWatapewaZawadiMbalimbaliIkiwemoKombePamoja Na FedhaTaslimu Za Kitanzania.
Pia WanafunziKatikaChuonihapoWamekuwa
Na Mwitikio wa
ainayakehukukiladarasalikijidhatitikikamilifukuibukakidedeakatikaMashindanoHayo
.
MashindanoHayoUfanyikaKilaMwakaKatikaChuo
HichoAmbapoWakufunziUfunguaMashindanoHayo Kwa KufanyaVipindiMbalimbaliKituAmbachoHuongezaShauku
Na Mwitikio Kwa WanafunziChuoniHapo.
Post a Comment