Hatimaye darasa la
Ngorongoro limeibuka kidedea katika mashindano
ya utangazaji katika chuo cha uandishi habari na utangazaji Arusha mashindano
yaliyochukua takribani siku tano.
Darasa hilo baada ya kuingia fainali hiyo jana kati ya
madasa 13ambapo leo hii limejishindia kombe pamoja na pesa tasiilimu shilling
laki moja na nusu huku likifatiwa na darsa la Kilimanjaro nafsi ya pili wakijishindia
laki moja darasa la serengeti
limeshikili nafsi ya tatu na kupewa zawdi shilling elf sabini huku baadhi ya
wanafunzi walio
Hata hivyo mkuu wa chuo hicho bw Joseph Mayagila
amewapongeza wanafunzi wote walioshiriki na kuwataka wasibweteke bali waendelee
kujituma ili wafanye vizuri katika mashindano mengine yatakayojitokeza
Kwa upande wake mkuu wa wa kitengo hicho Bw Onesmo Elia
Mbise amesma mashindano hayo yamendeshwa
kwa haki na usawa na majaji wamefuata kanuni zote za uhakiki wa vipindi lakini
akiwataka wanafunzi wote kuongeza juhudi na kuiga vile vyote vizuri
walivyoviona katika vipindi mbali mbali
Mashindano hayo ambayo ni ya tisa kufanyika chuoni yamekamilika hii leo
huku wanafunzi wakionyesha mwitikio na ushindani mkubwa tofauti na miika
mingine
Na Baraka lang
Post a Comment