0

Zabaki dakika chache majaji kuaamua nani mshindi wa utangazaji katika mashindano yanayoendelea katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC

Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha (AJTC) Wamemalizia ungwe ya mwisho na mashindano ya utangazaji katika chuo hicho ambapo masaa machache  a tangazwa  mshindi baada ya madarasa matano kuingia fainali hiyo jana.





.

Hata hivyo mshindi wa kwanza atapewa shillingi laki moja na nusu na kombe lenye dhamani ya shilling laki moja na nusu huku mshindi wa pili akipewa laki moja na mshindi wa tatu atajinyakulia shillingi elfu sabini na tano.

Post a Comment

 
Top